Category: Sheng Talk

SHENG TALK EPISODE 29

Niaje wasee na karibu ndani ya Episode ingine ya Sheng Talk  Kama Kawa ma angro wetu wa pawa walikuwa inadi na tukaanza na kujua pahali raiya ilikuwa ndiwike. Tulikuwa na Williez De Viruz, Hey Frankie, Charleslim na James Gichuru. Kwenye masegment yetu ya fao 'Vuta Uradi' tuliweza kukemba risto kadhaa zimekuwa zikisambaa kama vile Shebesh [...]

Read More

Sheng Talk – Episode 28

Niaje jeshi na mraiya yote ya nguvu ya Sheng Talk na karibu ninda ya episode ingine yenye ilishika kama kawa.     Kenya studio Dj Frankie aka Kikombe ya Glucose apo kando alikuwa inadi. Chaleslim, Generali Gichuru na Mzee Williez pia waliwakilisha. Na ofkos tulikemba segment zetu za kawa tukianza na Vuta Uradi ile base [...]

Read More