Category: Keep It Real

AKILI YA MWA’FREE’KA

  Kama kawa jana usiku kwa segment yetu ya #BongaSheng tulikuwa na mzito ndani ya keja. Ni none other than MwaFREEka na vile jina yake inasuggest enyewe Africa tunafaa kujiliberate ubongo kwanza ile tukuwe free, au sio? Tuliweza kuchambua track yake 'Nairobi' na vile alikuwa inspired kudu track about our city our town. Stifler: "Wasee wenye [...]

Read More