A song against the prevailing Gun Violence in Kenya.

Skeme Music ft Qoqo – Mr Polisi (Lyrics) 

Intro:

Yeah (Psych) 

Skeme Music Jameni ×2

Qoqo.. 

Yeah, 

Nipe Psych ×4

Yeah yeah, 

[Verse 1] – Chale Slim. 

Life ilikua fiti kiwa myoung, 

Kusosi kwa mathe, share koroboi bed siste na brathe, 

Suddenly system kukwara Dikwara ndio para,

kusnatch masimu vibeti kwa roadie, kuhepa boarding na scolding na moulding,

 

Mayout mbona mnashoot?

Uongo si Collo si drugs,io ni issue wasee wanadrag. 

Alafu nowadays….

Akuna kusanya mambao,

Tisa na lock ya mbao, 

Ni ndenga mchuma mazishi misa afta jo kusanya mathao,

It’s so sad in Nairobi Eastlands

The yout man is being killed ata kama hajafika mbao, 

Madem pia wameingia kwa game,

Masling mapetco kusunda kimali online ni fame…chachisha, 

Kamisha…Kamishna…Lalisha 

(Loud Bang!) 

Ipoa nao wamepoa

Nishike nipeleke ndani usipige risasi,usifiche jo id ya shule ueke  risasi, 

Usitupe basi mwili pea wazazi wazike. 

[Hook] 

Please Mr. Police, Yeah (Polisi Jo!) 

R. I. P joh ni mingi, (Psych) 

R. I. P mpaka lini? Yeah 

Nishike nipeleke ndani usi shoot jo police, 

Mr Police Yeah, 

(Maboy wako ndani Madem ma Hawker wako ndani, Wasom wako ndani na whoa!) 

Police Mr Police Yeah, Aya! 

Please Mr Police, Yeah (Polisi Joh!) 

R. I. P joh ni mingi, (Psych) 

R. I. P mpaka lini, Yeah

Nishike nipeleke ndani usi shoot jo police, Mr Police Yeah, 

(Na Chokosh ako ndani na Mathe ako ndani na Buda ako ndani Wasupa wako ndani na Whoa!) 

Police Mr Police Yeah, Aya! 

[Verse 2] – Jan Christian Guerilla. 

Tusha s’mama washa anza ku search, 

Washa anza ku tupa matusi ni catch, 

Washaanza kun’ show vile mi nime sag, 

Wan’ taka nitoe ma chain nime vaa, 

Mr Police first of all mi’na rights, 

Chenye na vaa siwe ndio uli buy, 

Ka ina tisha au ka ni suspicious ni approach ka.. Aagh.. 

As a matter of fact 

Mr. Police we una faa kuni linda, 

Vita si lazima, Nionyeshe upendo bro heshima, 

Juu una washa moto huezi zima, 

Una onyesha nani we ni simba? 

Buda we ni human.. 

Mimi pia, 

Funny ma youth wana live in fear, 

Mi na jua una skia so na make it clear, 

Wana inchi ndio inchi Ma youth wana taka respect my dear.. 

Nishike nipeleke ndani, Una shoot bila swali, 

Watoto wako wako mtaani chilling, 

Kwani huna feeling? 

Si rahisi ku zika na wewe uko mtaani Sleeping.. 

Kenya ili jengwa na siku ngapi? 

We unataka kui mada na mbili, 

Mwili plus akili, 

Si wote human so tuta kufa so ata uki shoot una pata nini sema? 

[Hook] 

Please Mr. Police, Yeah (Polisi Jo!) 

R. I. P joh ni mingi, (Psych) 

R. I. P mpaka lini? Yeah 

Nishike nipeleke ndani usi shoot jo police, 

Mr Police Yeah, 

(Maboy wako ndani, Madem ma Hawker wako ndani, waSom wako ndani na Whoa!) 

Police Mr Police Yeah, Aya! 

Please Mr Police, Yeah (Polisi Joh!) 

R. I. P joh ni mingi, (Psych) 

R. I. P mpaka lini, Yeah

Nishike nipeleke ndani usi shoot jo police, Mr Police Yeah, 

(Na Chokosh ako ndani na Mathe ako ndani na Buda ako ndani Wasupa wako ndani na Whoa!) 

Police Mr Police Yeah, Aya! 

[Bridge] – Qoqo. 

Mr. Polisi ×4

Harassment indeed, 

Watching us bleed, 

Polisi don’t proceed,

Harassment indeed, 

Watching us bleed, 

Polisi don’t proceed, 

[Hook] 

Please Mr. Police, Yeah (Polisi Jo!) 

R. I. P joh ni mingi, (Psych) 

R. I. P mpaka lini? Yeah, 

Nishike nipeleke ndani usi shoot jo police, 

Mr Police Yeah, 

(Maboy wako ndani, ma Dem, ma Hawker wako ndani, waSom wako ndani na Whoa!) 

Police Mr Police Yeah, Aya! 

Please Mr Police, Yeah (Polisi Joh!) 

R. I. P joh ni mingi, (Psych) 

R. I. P mpaka lini, Yeah

Nishike nipeleke ndani usi shoot jo police, Mr Police Yeah, 

(Na Chokosh ako ndani na Mathe ako ndani na Buda ako ndani Wasupa wako ndani na Whoa!) 

Police Mr Police Yeah, Aya! 

[Outro] 

Polisi Jo! 

Maboy wako ndani, Madem wako ndani, Ma Hawker wako ndani, Wa Som wako ndani na Whoa! 

Written by: Charles Kariuki, Jan Tambola & Qoe Santini. 

Recorded at Bass Line Music (Mae Famm). 

Instrumental produced by Jan Christian Guerilla aka Mvnci Bevts. 

Skeme Music 2017 ©

@skeme_music

@jan_christian_guerilla

@qoeqaine

@chaleslim

Special thanks to @siblingsdancecrew @LooksByAvido