shengtalk

Coasto Kamenuka Literally!

Niaje Wasee,
Unajua ikifika Monday gethaa ni ya Sheng Talk kama kawa au sio?

On hii episode tulikemba vile mraiya ya Coast baze inaitwa Jomvu vile mayout man kadhaa wa hio mtaa waliamua kuchafua shule ya St. Marys Primo na shonde!

Hii mraiya ilikuwa ikikwara riba ya election ifanyike hio chuo na wakaona the only way ni kujihami na shoi.

On Monday vile KCPE zilianza ilibidi mapero waoshe daro na area zingine affected before exam zianze…
Chant Down story ka izo.

Pia kwa segment yetu ya ‘Ndiwike’ tunakushow vile iliturarukia Coke Studio Africa screening ya episode ya Kenyan artist Nyashinski aki collabo na wazito kutoka South Africa Mafikizolo.

Hii ni Sheng Talk Kama Kawa.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *