Get Some Money is a representation of the biblical story of the betrayal of Jesus Christ. It seeks to put to light the plight of suicidal beings in an effort to advocate for world bodies to increase awareness and #speakagainstsuicide.

Aye cheki hii videsa ya get Some Money movie premier yenye iligo down pale Imax ya Garden City Mall.

Tuliweza kulink up na creator na cast wa hii movie ambayo imedungwa na Sheng.

Writer wake, L. Biko Nyongesa alitushow that hii mradi yote ilianza vile alichora hiyo script kejani tu matimes alikuwa nichi secta ya maganji.

Hii movie iliweza kuanua 3rd runners up katika Machawood Film Competition na wakawai kapa soo.

 

For hii na mradi zingine bie make sure umelink up na @LegitFilmsProductions ujue is how au sio?

 

Kemba hii video uone vile io day iligo down

 

Kang! Kang!