Tulikuwa na show imeivana on Monday. Tukiwa na mzito wetu Patrick Igunza akikam in from Citizen Tv na akatuchanua vile ye hudunga bizness news pale.”Wasee wengi huingia kwa media wakitaka fame lakini haikuangi hivo. Hii ni wera inadai dedication sana coz si huwork long hours.” Patrick alituchapia.
Pia aliacha ametugonga na #ShengWord ya kwake ‘Ngivee’ which inamean Bank au Benkiko.
Lakini aina haja ya hadithi mob cheki link ya Full show asapa ukembe show yote.
Alafu si unajua unaeza tuwai live kila Monday maidha ya saa nane.
Bless.