SHENG TALK na Czar Genius

Niaje wazito wote na Karibu ninda ya Sheng Talk ikiwa ni Season bweks episode ya tatu.

Screen Shot 2016-02-16 at 5.47.45 PM

Kwenye studio tulikuwa na Ma angro wa pawa Bhingy Williez, James Gichuru, Dj Frankie, Slim na kuna venye tunapenda kuholla ma Angroness wetu wenye mko apo nje na mnadai kukam thru kuguest host itabidi mstustue ndio tubalance io ratio au sio?

Screen Shot 2016-02-16 at 5.48.10 PM

Guest Host wetu alikuwa Czar ambaye ni msanii Veteran wa Hiphop na alistart sanaa yake officially mwaka ya 1998 where aliwork na wasanii kibao sana.

Amekuwa off the game kiasi na aka ma area za coast but now anapromise mayans wake that saw him amerudi na wa expect vitu fresh.

Cheki vile show iligo on asapa down na ukumbuke kutupata kila Monday saa mbili magizani.