Aje aje wazito… hope mumetilau

ikiwanasa tu mdogo mdogo sababu

sisi tunafeel tu tifi.

Screen Shot 2015-06-24 at 7.19.52 PM

Round this, Sheng Talk ilikuwa imewaka moto design ya ngori! Ndani ya studio tulikuwa na wazito kina Jemo, Bingy, Slim na tukajoiniwa na angro mmoja ngori design ya ngori kwa jina ‘Makororiro’ aka ‘Makoro Blurries’ kutoka area inajiita ‘Matunda’ sides za Kitale.

Screen Shot 2015-06-24 at 7.21.14 PM

Anadai Kitale kuna vile mayout wamechanngamka sector ya ma farming ivi so ni hustle fiti.

Pia kwenye Watu wa Kenya tulicheki boy flani kutoka Gethare anaitwa Abdi Shaffi. Ni msee amechangamka maphotography ivi having started akiwa ryma under watch ya Mwelu Foundation. Saa hii ako na blog yake unaeza ikemba hapa.

Ukidai kucheki sheng talk episode yote, incase ulihata, ikembe apa down na usisahau kugongana na sisi kila Monday, siku kama leo, gethaa ile ile ya 8pm ndani ya wglive.tv